{"product_id":"tumaini-la-mzeituni-by-assumpta-k-matei","title":"TUMAINI LA MZEITUNI By Assumpta K. Matei","description":"\u003cp\u003eNewton Education Resources ltd\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003eTumaini la Mzeituni\u003cbr\u003eAlikuzwa na shairi, nalo alikuwa ameliandika moyoni... Lilikuwa shairi la kumtoa nyoka pangoni, lenye anwani ‘Safari ya Heri’.\u003cbr\u003eJe, ni yepi haya yaliyoandikwa moyoni mwa Heri? Mna heri gani katika safari hii ya Heri? Ni kuepuka kubebwa na mafuriko? Ni kupata marafiki wapya? Ni kupata mazingira na nafasi bora ya kukuza vipawa vyake?\u003cbr\u003eJizamish e kwenye hadithi hii ya kipekee na kuburudika huku ukijizolea maadili mbalimbali.\u003cbr\u003eDkt. Assumpta K. Matei ni msomi na mtafiti mwenye tajiriba pana katika masuala ya elimu, hususan ufundishaji na tathmini. Ana uzoefu mkubwa katika ufundishaji wa Isimu, Lugha na Fasihi ya Kiswahili.\u003c\/p\u003e\n\u003cp style=\"text-align: left;\"\u003e \u003c\/p\u003e","brand":"MUGAMBI EMPORIUM","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":51444277084477,"sku":"10","price":380.0,"currency_code":"KES","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0853\/9694\/7261\/files\/322bcd07-baca-4144-875a-24dd3f7ef42c.jpg?v=1772435621","url":"https:\/\/mugambiemporium.myshopify.com\/products\/tumaini-la-mzeituni-by-assumpta-k-matei","provider":"MUGAMBI EMPORIUM","version":"1.0","type":"link"}